Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu waonya kuhusu uwezekano wa maziwa Bogoria na Baringo kuungana

  • | Citizen TV
    5,723 views
    Duration: 3:19
    Kwa miaka mingi, maziwa Baringo na Bogoria yamevunja kingo zake na kusababisha mafuriko yaliyoathiri idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo. Wataalamu wanaonya kuwa kutokana na kuongezeka kwa viwango vya maji ya Ziwa Bogoria, pana uwezekano kuwa ziwa hilo linaweza kushikana na Ziwa Baringo na kusababisha maafa zaidi. Na sasa juhudi zimefanywa kugeuza mkondo wa maji huku wakulima wakilalamikia hasara. Serfine Achieng Ouma na mengi zaidi.