Skip to main content
Skip to main content

Watahiniwa 1,048,355 waanza KCSE huku usalama ukilazimu uhamisho wa watahiniwa Moyale

  • | Citizen TV
    1,335 views
    Duration: 4:01
    Watahiniwa 1,048,355 wameanza mtihani wao wa kitaifa wa kidato cha nne kcse hii leo, waziri wa elimu nchini migos ogamba amesema licha ya taifa kurekodi idadi kubwa zaidi ya watahiniwa mwaka huu, mtihani huo umeanza bila tashwishi kote nchini . Huko moyale, watahiniwa wa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne, KCSE, kutoka shule za upili za Sessi na St. Mary’s zilizoko Moyale, kwenye mpaka wa kenya na Ethiopia wamehamishiwa katika maeneo salama kutokana na ripoti za utovu wa usalama kutoka upande wa Ethiopia.