2 Nov 2026 10:09 am | Citizen TV 741 views Duration: 1:40 Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE wa kuandika umenza rasmi mapema leo. Jumla ya watahiniwa 1,048,355 wanafanya mtihani huo kote nchini.