- 1,223 viewsDuration: 2:42Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE umeanza rasmi hii leo, huku watahiniwa kote nchini wakifanya mitihani yao. Katika Kaunti ya Bomet, watahiniwa watatu wamefanya mitihani yao wakiwa hospitalini. Huku eneo la Moyale, Kaunti ya Marsabit, watahiniwa kutoka shule mbili wamehamishwa hadi maeneo mengine kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama mpakani. Maryanne Nyambura anaaarifu.