Skip to main content
Skip to main content

Watahiniwa wawili wa KCSE wafariki huku mtihani ukiingia siku ya pili

  • | Citizen TV
    7,364 views
    Duration: 2:38
    Watahiniwa wawili wa mtihani wa kitaifa wa KCSE walifariki katika maeneo tofauti huku mtihani huo ukiingia siku ya pili. Katika kaunti ya Homa Bay, mtahiniwa wa kike alifariki Jumanne jioni, saa chache baada ya kufanya mtihani huo. Mtahiniwa mwingine aliuwawa katika hali tata kaunti ya Siaya ambako mwili wake ulipatikana na majeraha ya panga. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, mtu mmoja amekamatwa kaunti ya Bungoma baada ya kupatikana akisambaza mitihani kwenye mitandao ya kijamii.