Skip to main content
Skip to main content

Watangazaji wa Radio Citizen waungana na Levites Riders kuadhimisha Siku ya Akina Baba

  • | Citizen TV
    258 views
    Duration: 1:09
    Watangazaji wa Radio Citizen walijumuika na wanachama wa Levites Riders katika ibada maalum iliyofanyika katikati mwa jiji la Nairobi kuadhimisha Siku ya Akina Baba. Hafla hiyo ililenga kutambua mchango wa akina baba katika familia na jamii pamoja na kuhimiza maadili na mshikamano miongoni mwa wazazi.