28 Sep 2026 2:10 pm | Citizen TV 1,002 views Duration: 2:12 Ujumbe maalum kutoka taifa la Marekani ukiwemo watetetezi wa haki za watoto wamezuri kaunti ya Kisii kwa shughuli za kutoa hamasisho kwa vijana hususan wasichana wanaokumbwa na changamoto za hedhi mashinani.