30 Oct 2026 10:10 am | Citizen TV 3,740 views Duration: 1:32 Huzuni imetanda katika kijiji cha Lwanda B, wadi ya Maraka, eneo bunge la Webuye Mashariki, kaunti ya Bungoma, baada ya watoto wawili kuteketea hadi kufa wakiwa ndani ya nyumba yao.