Skip to main content
Skip to main content

Watu 10 wajeruhiwa katika mzozo wa umiliki wa shamba la ekari 300 Njunu, Kiambu

  • | Citizen TV
    1,360 views
    Duration: 2:31
    Hali ya wasiwasi imeendelea kutanda katika kijiji cha Njunu, kaunti ya Kiambu, baad ya watu kumi kujeruhiwa katika mzozo wa muda mrefu wa umiliki wa shamba la ekari 300, ambapo watu watano wanadai kuwa wamiliki halali wa ardhi hiyo.