Skip to main content
Skip to main content

Watu 16 wangali hawajapatikana huku shughuli za uokoaji Eastleigh zikiingia siku ya saba

  • | Citizen TV
    5,354 views
    Duration: 1:53
    Watu 16 bado hawajapatikana huku shughuli za uokoaji katika jumba lililoporomoka mtaani Eastleigh, Nairobi, zikiingia siku ya saba hii leo. Waokoaji wamefikia sehemu za mwisho za jengo hilo, ambapo tangu juzi vifaa vya kielektroniki vilionyesha kuwa kuna watu wawili walio hai chini ya vifusi.