- 4,156 viewsDuration: 2:26Watu sita wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea mapema leo kwenye barabara kuu ya Narok-Nakuru. Ajali hiyo ilitokea baada ya lori walimokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kugonga kizuizi cha usalama barabarani. Watu wengine watano wanauguza majeraha hospitalini. Bonface Barasa anaeleza zaidi.