Skip to main content
Skip to main content

Watu sita wakimbizwa hospitalini Kandara Murang'a baada ya kunywa pombe haramu

  • | Citizen TV
    5,892 views
    Duration: 2:19
    Wanaume wawili huko Kandara Mũrang'a wamelazwa katika wodi ya wagonjwa mahututi , huku wengine wanne wakipokea matibabu baada ya kubugia pombe haramu inayokisiwa kuwa na sumu.