30 Oct 2026 10:12 am | Citizen TV 1,335 views Duration: 1:00 Watu tisa, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kula njama ya kutapeli SACCO ya Eco-Pillar zaidi ya shilingi milioni 260 . shirika hilo la akiba na mikopo linahudumia maelfu ya walimu katika kaunti ya Pokot Magharibi.