Skip to main content
Skip to main content

Watu wanane wakiwemo wahandisi watano wa kigeni wauawa kwa kupigwa risasi Mandera

  • | Citizen TV
    14,293 views
    Duration: 59s
    Watu wanane wakiwemo wahandisi watano wa kigeni, askari wawili wa akiba, na dereva mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwenye barabara kuu ya Mandera kuelekea Arabia, kaunti ya Mandera.