Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wajeruhiwa kwa risasi katika vurugu Kuresoi North

  • | Citizen TV
    3,673 views
    Duration: 3:52
    Watu watatu wamepigwa risasi na kujeruhiwa katika eneo la Bunge la Kuresoi North, Kaunti ya Nakuru, baada ya Mbunge wa eneo hilo Alfred Mutai kufika katika mkutano uliokuwa umeandaliwa na Gavana wa Nakuru Susan Kihika akiwa na kundi la vijana na kujaribu kuvuruga mkutano huo. Waathiriwa wanadai mbunge huyo alifika katika uwanja wa Shule ya Umoja akiwa na vijana waliokuwa wamebeba mawe kabla ya vurugu kuanza, na kisha kufyatua risasi zilizowajeruhi watu hao watatu.