5 Nov 2026 1:07 pm | Citizen TV 751 views Duration: 2:31 Maafisa wa usalama mjini Busia wanaendelea kumsaka dereva wa gari ambalo lilisababisha maafa ya watu wawili kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Roadblock mjini humo.