Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili waliaga kwenye mkasa wa moto wa jana usiku sokoni Gikomba

  • | Citizen TV
    14,920 views
    Duration: 2:19
    Watu wawili wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia moto mkubwa ulioteketeza soko la gikomba hapa nairobi. Aidha mali ya mamilioni iliteketea kwenye mkasa huo wa usiku wa kuamkia Jumapili. Baadhi ya wafanyabiashara sasa wanadai kuwa huenda moto huo ulisababishwa kimakusudi ili kuwafurusha kutoka eneo hilo la biashara.