Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili waliokuwa na wakili Abshir bado hawajulikani waliko

  • | Citizen TV
    2,186 views
    Duration: 1:17
    Sasa inabainika kuwa watu wawili waliokuwa pamoja na wakili Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyetekwa nyara wikendi iliyopita, pia hawajulikani waliko. Familia ya Ayub Mohamud Maalim iliripoti katika kituo cha polisi cha Kilimani kuwa jamaa yao alitoweka akiwa pamoja na wakili Abshir. Kwa mujibu wa familia hiyo, Ayub, mkazi wa Mombasa, alikuwa jijini Nairobi kumtembelea familia yake na alikuwa ndani ya gari la wakili huyo walipofuatwa na watu waliokuwa wamejihami. Afisa anayechunguza kisa hicho, Dennis Mwenda, ameiambia mahakama kuwa mashahidi wengine watatu wameandikisha taarifa kwa polisi.