Skip to main content
Skip to main content

Watu wenye ulemavu Nakuru walalamikia matumizi ya fedha zao

  • | Citizen TV
    20 views
    Watu wenye ulemavu katika Kaunti ya Nakuru wametishia kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya serikali ya kaunti wakidai kaunti imekataa kutoa fedha walizotengewa kwa kipindi cha miaka minne iliyopita.