7 Oct 2026 1:19 pm | Citizen TV 451 views Duration: 1:22 Wauguzi wa huduma mahututi nchini Kenya wameitaka serikali kuhakikisha kuwa vitengo vya huduma mahututi kote nchini vina vifaa vya kutosha na vya kisasa, ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.