Skip to main content
Skip to main content

Wavinya Ndeti akashifu uvamizi wa viongozi wa upinzani Migori, ataka heshima kwa wote

  • | Citizen TV
    2,557 views
    Duration: 1:18
    Gavana wa machakos wavina ndeti ni miongoni mwa viongozi waliokashifu kisa cha mkutano wa viongozi wa upinzani akiwemo kinara wa wiper kalonzo musyoka kuvamiwa huko migori. akizungumza huko Ekalakala eneo la Masinga kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo, gavana wavinya aliwataka wanasiasa kuwatendea wenzao kama vile wangependa wao kufanyiwa wakienda kupiga kampeni popote nchini.