- 499 viewsDuration: 1:08Naye gavana wa machakos wavinya ndeti ameongeza sauti yake kuhusu hulka ya wanasiasa kuwatumia vibaya vijana. akizungumza kwenye ibada katika kanisa la AIC Kyemutheke huko Kyumvi, Wavinya aliwashauri vijana kutokubali kutumiwa kuzua vurugu kwenye mikutano ya kisiasa kwani uhalifu huo tayari umesababisha maafa mengi.