Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi wa Kipini wapinga nyavu za Ringnet wakidai zinapunguza samaki baharini

  • | Citizen TV
    1,137 views
    Duration: 2:23
    Wavuvi wa Kipini, kaunti ya Tana River, wanapinga uvuvi wa kutumia nyavu za Ringnet, wakidai unapunguza samaki na kuharibu mazingira ya baharini.