Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi wengi hutumia nyavu zilizopigwa marufuku lamu

  • | Citizen TV
    202 views
    Duration: 3:18
    Wavuvi wa eneo Bunge la Lamu Mashariki katika kaunti ya Lamu Hutegemea vifaa vya uvuvi kama Nyavu za Mkano na Juya ili kuvua samaki. Hata hivyo, vifaa hivi vilipigwa marufuku kwa sababu vinaharibu mazingira ya bahari.