Skip to main content
Skip to main content

Wawakilishi wa wadi Uasin Gishu wakemea matumizi mabaya ya polisi kisiasa

  • | Citizen TV
    2,129 views
    Duration: 1:04
    Wawakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Uasin Gishu wakiongozwa na kiongozi wa wachache katika bunge hilo Kimani Wanjohi,wamekashifu vikali uhuni unaoshuhudiwa kwenye mikutano ya kisiasa. Wakizungumza mjini Eldoret Viongozi hao wamewataka maafisa wa polisi kuwajibika,na kukomesha hali hiyo na kutokubali kamwe kutumika kisiasa.