4 Nov 2026 1:12 pm | Citizen TV 458 views Duration: 1:29 Wakati joto la kisiasa likizidi kupanda kuelekea uchaguzi mkuu ujao, baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Nandi wameitaka tume ya NCIC kuchukua hatua kali dhidi ya viongozi wachochezi.