Skip to main content
Skip to main content

Wazazi waandamana Isinantet Narok kusini wakilalamikia matokeo mabaya ya mitihani

  • | Citizen TV
    471 views
    Duration: 2:33
    Wazazi wa shule ya Isinantet wameandamana wakilalamikia msururu wa matokeo mabaya ya mitihani. Pia wanataka maelezo kuhusu jinsi ufadhili wa Sh1.2 milioni ulivyotumika.