Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wanunua lori la maji kuwanusuru watahiniwa wa Nkareta wakati wa KCSE

  • | Citizen TV
    862 views
    Duration: 1:59
    Huku Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne unapoanza ni afueni kwa watahiniwa wa Shule ya Sekondari ya Nkareta iliyoko Narok Kaskazini baada ya wazazi kuchangia ununuzi wa lori la kusamba za maji .