- 73 viewsWazazi wametakiwa kuwa makini kwa kufuatilia matumizi ya mitandao na simu za wana wao,ili wasije kuhadaiwa na makundi ya kigaidi yanayotumia mitandao na simu kutoa ahadi za ajira kwa vijana. Wito huo umetolewa na kitengo cha kuzuia na kupambana na ugaidi nchini NCTC.