- 722 viewsDuration: 1:59Baadhi ya wazee na vijana katika Kaunti ya Trans Nzoia wautaka uongozi wa muungano wa Kenya Kwanza kuhakikisha kuwa wote wajitokezao kuwania tiketi ya ugavana wapewa nafasi sawa katika mchakato wa uteuzi wa mgombea wa muungano huo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027