Skip to main content
Skip to main content

Wazee na wakazi wa Kaya Tiwi waanzisha kampeni ya kurejesha msitu ulioharibiwa na ukataji miti

  • | Citizen TV
    745 views
    Duration: 2:16
    Wazee wa msitu wa Kaya Tiwi katika kaunti ya Kwale na wakazi wa eneo hilo wameanzisha kampeni ya kurejesha hali ya msitu huo ulioharibiwa kutokana na ukataji wa miti.