Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa jamii za Tana River wakubaliana kudumisha amani

  • | Citizen TV
    523 views
    Duration: 1:34
    Wazee kutoka jamii mbili zinazoishi katika Tana River wamekubaliana kuishi kwa amani na kukomesha mapigano ya mara kwa mara ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Viongozi hao wa kijamii wamesisitiza umuhimu wa mazungumzo na mshikamano ili kurejesha utulivu na kuzuia migogoro zaidi katika eneo hilo.