3 Nov 2026 10:54 am | Citizen TV 1,055 views Duration: 9:24 Waziri wa afya Aden Duale amefika mbele ya kamati ya sheria ya uwakilishi bungeni kujibu maswali kuhusu kanuni za udhibiti wa magonjwa hatari ya kuambukizwa ukiwemo ugonjwa wa Ebola.