Skip to main content
Skip to main content

Waziri Murkomen amekosoa uvamizi wa kanisani All Saints

  • | Citizen TV
    746 views
    Duration: 1:13
    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesisitiza kuwa wahuni waliovamia kanisa la All Saints Cathedral jijini Nairobi ijumaa watakamatwa na kushtakiwa. Murkomen akisema kwa kuwa maafisa wa upelelezi tayari wanachunguza tukio hilo, wakati wa mkutano wa bajeti uliokuwa ukiendeshwa na mashariki yasiyo ya kiserikali. Ameendelea kuwalaumu wanasiasa kwa kile anachosema ni kuhusika na mchipuko wa magenge hayo. Alikuwa akizungumza katika kanisa la AIC South B, hapa Nairobi.