27 Oct 2026 1:51 pm | Citizen TV 1,479 views Duration: 1:24 Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amezindua kongamano la 13 la Dunia kuhusu Viazi mjini Naivasha, akiwahimiza wawekezaji kuongeza uzalishaji wa viazi ili kupunguza kutegemea bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.