Skip to main content
Skip to main content

Waziri Ruku ahojiwa NCIC

  • | Citizen TV
    1,078 views
    Duration: 1:45
    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku leo amefika mbele ya tume ya NCIC na kuhojiwa kuhusu matamshi yanayodaiwa kuwa ya uchochezi na ambayo yanatishia utangamano kabla ya uchaguz mkuu wa mwaka wa 2027. Uchunguzi dhidi ya Waziri Ruku ulianza mwezi Julai kabla ya kuagizwa kufika mbele ya NCIC mwezi Agosti