Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa afya Aden Duale afikishwa mahakamani kujibu madai ya kuidharau mahakama

  • | Citizen TV
    4,930 views
    Duration: 1:50
    Aden Duale amefika mahakamani hii leo kujibu madai ya kupuuza na kuidharau mahakama kuhusiana na suala la ujenzi wa kituo cha Ebola katika eneo la Laikipia County. Duale anatuhumiwa kutotekeleza agizo la mahakama lililomtaka kutoa maelezo ya kina kuhusu mradi huo, hali iliyosababisha kuitwa mahakamani kueleza sababu za kutofuata maagizo ya mahakama.