- 351 viewsDuration: 1:36waziri wa afya aden duale anasema serikali inazingatia kanuni zote za kudhibiti ugonjwa wa ebola. Duale ameyasema hayo mbele ya kamati ya sheria ya uwakilishi bungeni ambapo ameeleza hatua ambazo seerikali imepiga kudhibiti kuenea kwa maradhi hayo hatari.