Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen afika mbele ya kamati ya ardhi ya Seneti

  • | Citizen TV
    1,600 views
    Duration: 3:13
    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amefika mbele ya kamati ya seneti kuhusu ardhi kujadili hoja ya kubadilisha mipaka ya msitu wa mlima ng'iro kaunti ya Samburu, pamoja na kushughulikia dhuluma za kihistoria za wakazi wa eneo hilo.