- 675 viewsDuration: 1:32Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema suala la usalama wa taifa linahusisha wananchi wote. akihutubia hadhira katika chuo cha kitaifa cha ulinzi mtaani karen kuhusu masuala ya usalama wa taifa, Murkomen amesikitishwa na maandamano ya gen z yaliyosababisha vifo mwezi juni mwaka wa 2024.