4 Nov 2026 1:17 pm | Citizen TV 990 views Duration: 1:58 Viongozi wanaogemea serikali wakiongozwa na katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo wamendelea kutetea utendakazi wa serikali ya Rais wiliam Ruto wakisema imetekeleza miradi ya maendeleo kwa usawa kote nchini.