Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Ushirika Wycliffe Oparanya asihi wakenya kujiunga na mashirika nchini

  • | Citizen TV
    772 views
    Duration: 1:22
    Waziri wa Ushirika, Wycliffe Oparanya, amewataka Wakenya kujiunga na vyama vya ushirika ili kunufaika na fursa za kifedha, mikopo na ufadhili unaotolewa na serikali pamoja na mashirika mengine ya maendeleo