Skip to main content
Skip to main content

Wito wa kudumisha amani, mshikamano na umoja wa kitaifa watolewa Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    456 views
    Duration: 3:40
    Wito wa kudumisha amani, mshikamano na umoja wa kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu ujao ulitawala ibada iliyowakutanisha maelfu ya mahujaji katika eneo la Tamu, katikati ya vilima vya Sook, kaunti ya Pokot Magharibi, eneo ambalo waumini hulitambua kama Yerusalemu yao.