15 Sep 2026 1:07 pm | Citizen TV 416 views Duration: 1:23 Wizara ya Afya imewataka wananchi kuwa makini wanaponunua dawa katika maduka ya dawa, na kusisitiza kuwa dawa zinapaswa kununuliwa kutoka kwa wauzaji wenye leseni pekee.