- 498 viewsDuration: 1:30Wizara ya Utumishi wa Umma inaadhimisha Siku ya Utumishi wa Umma ya Afrika katika hafla inayofanyika katikajumba la KICC. Siku hiyo, inayotambuliwa na mataifa yote ya Afrika, hutumika kutambua mchango wa watumishi wa umma na taasisi za serikali katika kuendeleza ubunifu na maendeleo endelevu, pamoja na kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi.