8 Sep 2026 1:12 pm | Citizen TV 28,291 views Duration: 2:02 Zaidi ya magari 50 yameteketea katika karakana tatu eneo la Kilimani, Nairobi, katika moto uliotokea usiku wa kuamkia leo. Polisi wanaendelea kuchunguza chanzo cha moto huo.