- 999 viewsDuration: 2:04Zaidi ya nusu ya wakenya hawatasherehekea sikukuu ya krismasi mwaka huu. Utafiti uliofanywa na shirika la INFOTRAK umebaini kuwa wakenya wengi hawana uwezo wa kuandaa maankuli na sherehe za krismasi, wengi wao wakisema watasalia nyumbani na familia zao tu.