15 May 2026 2:08 pm | Citizen TV 428 views Duration: 53s Wakazi wa eneo la Loboi katika Kaunti ya Baringo waishi kwa hofu kutokana na kuongezeka kwa maji ya Ziwa Bogoria, huku kukiwa na wasiwasi kwamba ziwa hilo la maji ya chumvi linaweza kuungana na Ziwa Baringo lenye maji safi.