Msafara wa Sambaza Furaha na Safaricom maeneo ya Nyanza na Magharibi umekamilika

  • | Citizen TV
    228 views

    Kampeni ya Sambaza furaha na Safaricom ilihitimisha wiki ya tatu katika eneo la magharibi na Nyanza. Wakaazi wa Kisii leo wakipata fursa ya kujishindia zawadi tele kutoka kwa kampuni hii ya mawasiliano. Msafara huu sasa utakuwa Nairobi wiki ijayo.