Wakaazi wa Kaptagat waandamana baada ya polisi kupatikana wakichinja ng'ombe ya mkaazi wa eneo

  • | NTV Video
    685 views

    Wakaazi wa eneo la Kaptagat kaunti ya Elgeiyo marakwet waliandamana hii leo na kufunga barabara kuu ya Kaptagat kuelekea Eldama Ravine kwa kile walichodai kwamba polisi walipatikana wakichinja ng'ombe ya mkaazi wa eneo hilo katika makaazi ya zamani ya polisi katika kituo hicho.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya